kwa mbali ndani ya gari ni mwili ukiwa tayari kupelekwa polisi kwa hatua zaidi
Mlinzi aliyekuwa akilinda vibanda katika maeneo ya veta mlole kigoma amekutwa amenyongwa usiku wa kuamkia leo na wezi wamefanikiwa kuiba kila kitu katika vibada vilivyopo maeneo hayo.marehemu alikutwa amefungwa makaratasi ya lailoni miguu na kunyogwa shigoni. mwili wake ulikutwa leo asubuhi katika vibanda hivyo ambapo alikuwa ni mlinzi wa vibanda hivyo. mwili wake umeshapelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma Maweni kwa taratibu za mazishi zikifuata.
hapa ni umati watu wakiangalia mwili wa mlinzi aliyenyongwa na wezi maeneo ya veta kwenye banda alilokutwa amefariki.Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment