Kwenye
picha ni mwanamke wa Malaysia pamoja na mwanae aliyekua asafiri na
ndege ya Malaysia iliyopata ajali akishindwa kujizuia kwa kutokwa na
machozi baada ya kusikia ndege aliyokua asafiri nayo kudunguliwa na
kombora kwenye mpaka wa Urusi na Ukraine.
Sababu ya mwanamuke huyo kutokuwemo kwenye ndege hiyo ni kwa sababu ya
kuchelewa na kukuta ndege ishaondoka na baadae alisema hii ni mwenyezi
Mungu amenipa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment