Wananchi
wakiwa wamejazana huku wakiliangalia lori aina ya fuso lililowagonga
wafanyakazi sita wa kiwanda cha Mazava na mmoja kufariki dunia papo hapo
kwa kuangukiwa na lori hilo baada ya kupinduka wakati dereva wake
akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki katika barabara kuu ya
Iringa-Morogoro eneo la Bene Msamvu mkoani Morogoro
Mkono ukiwa unanekana huku mwili ukiwa umekandamizwa na kichwa cha lori hilo kabla ya mwili kutolewa katika eneo la tukio.
Hapa mwili ukiwa bado haujatolewa.
Baada
ya magari yenye kunyanyua vitu vizito kunyanyua na wananchi kupata
nafasi ya kuutoa mwili uliokuwa umekandamizwa na lori hilo.
Picha zaidi bofya hapa
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment