Tukio
hili la kustahajabishA limetokea nchini kenya ambapo mbuzi katika hali
ya kushangaza alizaa kitoto ambacho kiwiliwili ni cha mbuzi na kichwa ni
cha binadamu.
Tukio
hilo limezua gumzo miongoni mwa wanakijiji waliohudhuria tukio hilo
kwani wengi wanasema ni tukio la kwanza kutokea mtaani hapo, wengi wao
wakilihusisha na imani za kishirikina huku wengine wakidai ni miujiza tu
ya mwenyezi mungu.
Hata hivyo kimwanambuzi hicho kilifukiwa kwani tayari kilikua kimeshafariki baada ya kuzaliwa
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment