Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kocha Roberto Martinez wa Everton amekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku aliyeichezea klabu hiyo  kwa mkopo msimu uliopita.Dili hilo limeigharimu klabu hiyo ya Goodison Park paundi milioni 28.
 
Lukaku alijiunga na Chelsea misimu mitatu iliyopita lakini ameichezea mechi 10 za ligi kuu kabla ya kutolewa kwa mkopo West Brom na baadaye Everton alikohamia jumla.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top