Sasa
uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na
masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na
thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana, kiboko cha yaote mtu
aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala
kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen,
dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na
vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za
tukio hilo...
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment