Stori
za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya ambavyo
vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy Brown
ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli nyuli alihitaji
kuwatumia wacheza show(dancers) wa Shilole na baada ya kuelewana Shilole
aliombwa kutumiwa Laki 2 ili awalipe hao wacheza show.
Sasa
ishu imekuja baada ya Shilole kupewa zile pesa hakufanikiwa kuwapeleka
wale dancers na kitu kinachozungumziwa na Samir na kuhusu pesa aliyopewa
anahitaji kurudishiwa maana video waliyotaka kuifanya tayari
imekwishafanyika.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza kilichosemwa na Samir na Shilole.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment