Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Alysia Montano, mwenye mimba ya wiki 34 akishindana katika mbio za mita 800 za US Track na Field Championships.


Mama Mjamzito Alysia Montano amekimbia mbio za mita 800 za US Track na Field Championships jana (June 26,20140, ingawa mimba yake imetimiza wiki 34.

Bingwa huyo mara tano wa taifa alitumia muda wa dakika mbili na sekunde, 32.13 kumaliza na kufuzu hatua nyingine, akiwa amebakiza wiki saba tu kabla ya kujifungua. 

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28, nyota wa zamani Chuo Kikuu cha California, kumaliza wa mwisho haikumuumiza mbele ya umati waliojitokeza kushuhudia mbio hizo kwenye Uwanja wa Hornet. 

Alianza kwa kasi na kuongoza kwa umbali wa mita 120 kabla ya kuanza kuishiwa nguvu na kupatwa.


Montano akiwa kwenye mashindano mjini Sacramento.


Montano akisubiri mbio kuanza katika siku ya ufunguzi wa USATF Outdoor Championship..Habari Na:-Bin Zuber.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top