Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


10513769_1502779259957797_1663715630_n
Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali. Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msitini na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa enzi za kabla ya ukoloni.10413013_1506214419609205_3260841_n924386_158463804322568_1115509688_nPia kupitia Instagram, staa huyo amepost picha akiwa airport nchi za nje akielekea Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET, zitakazotolewa June 29.
10517949_331255273698429_525471304_n
NA BONGO CLAN
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPA
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top