Eneo jipya la
kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea limetangazwa na serikali ya
Australia baada ya taarifa mpya za Satellite kutolewa.Kwa mujibu wa
waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji wa ndege hiyo sasa
litahamia Kusini kuegemea eneo la kilomita 1,800 kutoka Pwani ya
Magharibi ya Australia.
Ndege ya
MH370 ilipotea wakati wa safari yake kutokea Kuala Lumpur kwenda Beijing
Machi 8 mwaka huu ikiwa na abiria 239 ndani yake.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPAFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment