Kapteni wa timu ya Uruguay D.Godin alimalizia mpira uliopigwa kona na kumalizia free head dakika ya 81 na kuifunga italy na kuitupa nje kwenye michuano hii ya kombe la dunia
Claudio Marchisio wa Italy aoneshwa kadi nyekundu
Picha za video zimeonesha mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez akimng'ata beki wa Italy Giorgio Chiellini. Mwamuzi hakuona kitendo hicho lakini huenda hatua zitachukuliwa baadaye.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment