Taarifa
zilizotufikia katika Chumba cha Habari muda huu zinasema kwamba ,
Muimbaji wa Nyimbo za Injili Deborah John Said Amefariki Dunia katika
Hospitali ya Muhimbili. Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi.
Tunatoa pole kwa wote waliopatwa na Msiba huu Mkubwa.
Amen
>>>ndgshilatu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment