Wakizungumza na mwanahabari wetu kwa nyakati
''Kijana kashikwa pabaya na shishi baby wake, ngoja tuone hii muvi nayo itaishia wapi maana shilole alishawahi kusema yeye ameshawazoea kuacha na si kuachwa hivyo penzi lao likiingia dosali atatemwa na kubaki na majuto ya kuwa na tattoo hizo'' alisema mdau mmoja huku akigoma kuanikwa jina lake.
Mdau Mwingine alisema ni kweli kwa sasa anaweza kuona sifa kuwa na alama hizo kwa sababu penzi lao bado liko moto lakini atambue mapenzi huwa yanachuja na kama watu wako nje ya ndoa kuachana huwa si jambo gumu na kila mmoja kuanza maisha yake mapya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment