Kiungo mpya wa Chelsea, Cesc Fabregas amezozana na kocha wake Vicente del Bosque ambaye amechukua uamuzi wa kumtimua.
Hali
hiyo imetokea mazoezini leo kwa wawili hao kuzozana wakati Hispania
ikiwa imevuliwa ubingwa na inasubiri kucheza mechi dhidi ya Australia
ambayo ni kujiburudisha tu.
AKIMKABIDHI BIB XAVI KABLA YA KUTOKA NJE |
Hispania imefungwa mechi mbili
kwenye kundi lake dhidi ya Hispania na Chile na Fabregas ambaye ametua
Chelsea akitokea Barcelona alicheza ile dhidi ya Uholanzi tena dakika za
mwisho.
Inaonekana hajafurahia kubaki benchi hali iliyosababisha mzozo huo.
Licha
ya juhudi za wachezaji wengine kuzuia mzozo huo, Fabregas alionekana
kutoacha kuzozana na del Bosque na baadaye alipanda baiskeli na kuondoka
eneo la mazoezini.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment