MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda.
Paparazi alitia timu nyumbani kwa
binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua maendeleo yake ambapo
mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe hapa paparazi, alijibu
kwa kifupi:
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
Aprili mwaka huu, Chid Benz
alishtakiwa katika kituo cha Polisi cha Pangani, Ilala kwa kosa la
kumshambulia Aisha ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment