Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
abuu 
 Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu zake wakaenda kuuchukua mwili wake kisha kuuzika kwa heshima zote.
 
Sasa inshu imekuja jamaa amerudi na tatizo limekua hakuna anayemuamini hadi mke wake kamkimbia na kaburi lake lipo kinachoshangaza ni mpaka hitma wameshakamilisha,kaenda live studio sasa msikilize kupitia Hekaheka ya leo June 19.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top