Na Shakoor Jongo
MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima.
MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima.
Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo kinasema, wadada hao walikuwa wakirekodi sinema ambayo haijajulikana jina lake.
“Ni kweli walikuwa wakirekodi filamu, lakini kuna muda walizinguana ila watu wanasema bado wanakasirikiana kutokana na ile ishu ya kunyang’anyana mwanaume.
Mshiriki wa Miss Tanzania, 2011/2012 Husna MaulidJoti alipotakiwa kuzungumzia ishu hiyo, alikiri kutokea lakini kwenye kurekodi filamu huku akikataa kufafanua.
“We’ jua kuwa ilikuwa filamu, si ugomvi serious,” alisema Joti.
Lulu hakupatikana kuzungumzia ishu hiyo lakini Husna alipopatikana alisema: “Tulitofautiana kikawaida tu kama wanawake lakini hatukufika kwenye mambo ya kupigana.”
>>>GPL
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment