Mchezaji
wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya kutojihusisha
na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya kuthibitika
kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi za kombe la
dunia.
Pamoja na
kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na kuwa hiyo ni
kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu hiyo kali
ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea ambao wanaamini
kaonewa.

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI au HAPA
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment