Kanye west na Kim kardashian wamekataa dau linalofikia dola za kimarekani 11m kutoka kwa majarida mbalimbali ya kimataifa kuuza picha za harusi yao iliyofanyika may 24 nchini Italy.
Hata hivyo inadaiwa kuwa mama yake Kim kardashian anajulikana kwa sifa zake za kupenda fedha na maisha mazuri, hajafurahishwa na uamuzi huo.
Vyanzo hivyo vinasema kanye amefuata msimamo waliochukua Beyonce na Jay Z ambao picha za harusi wanazo wao wenyewe peke yao. Jay Z na Beyonce ambao hawakuhudhuria harusi ya Kanye na Kim, Waliamua kuzionesha picha zao kupitia site za na mitandao ya kijamii na sio kuziuza.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment