BET
Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko
kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act.
Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali
siku ya tukio.Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz. Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.

kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment