Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 


Katika Hali Isiyo ya kawaida kuna baadhi ya watu ama Vikundi Instagram wameanza kumchimba Diva Loveness Baada ya Kujitoa Team Wema, Sasa leo wamekuja na Mpya na Kusema kuwa Diva anajiongezea makalio kwenye picha zake kwa kutumia Photoshop, na Wameenda mbali zaidi na kutoa ushahidi wa baadhi ya Picha jionee mwenyewe hapo chini na Ujudge mwenyewe kama ni kweli ama la kwa kuziangalia hizo Picha:
  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top