“Thank
you My Gk for dis s5 new model insp…… huu mji niko katika foleni masaa
sasa.. but na simu hii mpya lol … kupendwa rahaaaa”- alimalizia Diva
ambaye ndiye mtangazaji wa clouds fm maarufu kwa kipindi chake cha ala
za roho, akiwa anatumia jina la Divathebawse kwenye mtandao huo wa
kijamii wa instagram.
Post a Comment
Post a Comment