Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufuiwatu wanaofahamika? Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusiowajua?!
Mchungaji Gwajima
Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuongea?
Post a Comment
Post a Comment