Msanii
Nguza Viking anayetumikia Kifungo chake Gerezani akiwa na Bendi ya
Wafungwa(anayepiga gitaa) akiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa
Wafungwa unavyofanyika Magerezani(wa pili kulia) ni Jonson Nguza Maarufu
kwa jina la Papii Kocha wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day
yaliyofanyika leo Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa
Magereza Ukonga.
BONYEZA HAPAFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment