Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS jana mchana. Mpiga picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)
BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top