Watoto wa kike wenye hadi umri wa miaka kumi na miwili, wanalaghaiwa na
kuchagizwa kuingia katika ukahaba. Katika mji unaoonekana kama peponi,
Malindi uliopo kwenye pwani ya Kenya, kisirisiri unaendesha biashara ya
ngono kwa watoto. Watalii huwa tayari kulipa fedha ili kufanya ngono
katika maeneo ya mwambao. Anne Soy anaarifu kutoka Malindi.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment