Ajali
mbaya imetokea muda mchache uliopita katika lango Kuu la kuingilia
katika Mahakama ya mjini Tabora. Ajali hiyo imehusisha Gari ndogo aina
ya Rav 4 yenye usajili wa namba T516 ALA ambayo ilikuwa inaendeshwa na
Mama mmoja aliye tambulika kwa jina la Stumai Tambwe ambapo ameigonga
Bodaboda iliyokuwa na Abiria na kuwasababishia kuumia vibaya san, na
baada ya hapo Gari hilo liligonga mti na kumsababishia kuumia vibaya.
Majeruhi wote wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya Matibabu zaidi na hali zao wote mpaka sasa ni mbaya.
Majeruhi wakipata Msaada baada ya ajali hiyo kutokea mapema leo
Majeruhi akikimbizwa kwa ajili ya huduma ya kwanza
Gari baada ya kugonga Bodaboda liligonga Mti na ndipo mama huyo aliumia vibaya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment