Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Victoria kimani anaewakilisha 254, anatarajia kudondosha single yake mpya siku ya juma tano exclusively kupitia kipindi cha xxl
Single hiyo aliyomshirikisha Diamond na Ommy Dimpoz Prokoto itakuwa ndio single yake inayofata huku uongozi wake ukisema kuwa wimbo huo unaonekana utakuja kufanya vizuri sana Africa na ndio maana wameamua kuuachia sasa hivi.



Prokoto haina maana yoyote bali itakuwa ndio jina la cheza mpya ambayo itaonekana katika video yao.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top