Kuna kisa kimeibuka nchini
Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa
miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au
kukataa kushiriki tendo la ndoa.
Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu.
Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la
Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi
hiyo mwaka 1980.
Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason
alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakamaisingeweza
kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.
Nini maoni yako kuhusu tukio hili?
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment