Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Adam Kuambiana enzi za uhai wake.

MWIGIZAJI Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya 
Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Marehemu 

ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa 

 Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top