Hizi ni
taarifa zingine za ghafla ambazo Tanzania tumezipokea kwa mshtuko na
masikitiko ni kifo cha miongoni mwa-madirector wa Tanzania ambao ni
waigizaji pia,huyu ni Adam Kuambiana ambaye taarifa za kifo chake
zimeanza kusambaa mchana wa Mei 17.
Marehemu Adam Kuambiana akiwa location enzi za uhai wake.
Mwenyekiti
wa Bongo Movie Steve Nyerere amesema>>’Mwenzetu Adam Philipo
Kuambiana amefariki akiwa Location ana shoot,mimi nimepigiwa simu saa 3
asubuhi kuwa hospitali pale Mwenge niende nikahakikishe kuwa ni kweli
Adam amefariki na kweli kufika pale nikamkuta Adam Kuambiana amefariki’
‘Sasa
hivi tumetoka Muhumbili kwenda kumsitiri mwenzetu,taarifa inasema wakati
yupo location alikua analalamika tumbo linamuuma linamuuma kumfikisha
hospitali ndipo umauti ukamfika’.
Kwa
mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa marehemu Adam kuambiana alikua ana
shoot filamu yake mpya ambayo ndani yake amewashirikisha wasanii kadhaa
wa Bongo fleva akiwemo Q Chillah,taratibu za mazishi na msiba kwa ujumla
Bonyeza play kumsikiliza Steve Nyerere akielezea msiba huu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment