kinda wa man utd akishangilia goli na vidic baada ya kuipatia timu yake goli wilson tangu msimu kuanza kacheza leo na kaingia nyavuni mara mbili huku goli lingine likifungwa na roben van persie huku hull city wakipata goli moja la kufutia machozi.
Kocha mchezaji Giggs akimlalamikia muamuzi katika mchezo huo uliokwisha kwa ushindi mnono kwa timu yake.
man utd imefikisha point 63 nafasi ya 7 huku ikiwa imebakiza mechi moja huku tottenham akiwa nafasi ya 6 na point 66.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment