Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole na kuwafariji familia ya  aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu.
Picha na Freddy Maro-IKULU

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top