Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo ya Producer Bora Wakati Wimbo huo
Umechukua Tuzo Nyingi ikiwemo ya Wimbo Bora , Amekaririwa akisema "Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo ya Muandaaji bora wa Music wakati Number one imekuwa mwimbo bora wa Mwaka..na imemfanya Diamond Apate Tuzo Tano?


<<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU PLEASE>>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top