Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mke wa marehemu Adam Kuambiana, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi akifarijiwa.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani Bunju B, Dar.
Msiba upo hapa Bunju B.
MWILI wa Mwigizaji na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana utaagwa leo Jumatatu nyumbani kwake Bunju B, Dar na siku ya Jumanne asubuhi utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na mashabiki wake. 
Taarifa hizi zimetolewa na mke wa marehemu, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi (Chadema)!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top