Huku
akiwa anasuburia kunyakuwa tuzo za MTV zinazotarajiwa kufanyika tarehe 7
june, Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za BET katika category ya "Best
International Act (Africa)
Diamond
anachuwana na mwanadada Tiwa Savage (Nigeria), Davido (Nigeria),
Mafikizolo (South Africa), TOOFAN (Togo) na Sarkodie (Ghana)
Diamond anasema hakutarajia kabisa kama angechaguliwa katika tuzo hizo kwasababu hajawahi kuwasiliana nao hata siku moja.
Akiongea kutoka London amesema wakati yuko set akiendelea na ku record
video yake mpya, manager wake Babu Tale ndio alimwambia amechaguliwa BET
ila akadhani ni utani , ila baada ya kuona tweets nyingi za mashabiki
ndio akaamini. BOFYA HAPA
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment