Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo (jana); ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za
kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo (Kigodoro) kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

Source: williammalecela.com

<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top