Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.


Akiongea na gazeti hili kwa njia ya simu namba 0788-844490 toka Mwanza alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma alisema" Niliongea na Diamond wiki moja kabla ya shoo nikamueleza kuwa atapokea tuzo nyingi sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya kudumu kwenye game kwa miaka kama hiyo ya tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele yote nyota yake itaendelea kung'ara" Alisema Dokta Kamdege


 
Aidha Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa haya mambo ya maagano yapo muziki na miti shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama ilivyo kwa Diamond" Alisema mganga huyo mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
 
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito kwa watanzania popote walipo duniani waendelee kupata huduma zake kwani hii ni kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia baraka kupitia miti shamba.
>>>>>-XDEEJAYZ

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top