
Mshindi wa EBSS 2012 Walter Chilambo amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku na gari yake kuharibika.Chilambo ameshare picha ya gari aliyopata nayo ajali na kuandika ujumbe huu,
“Asante
Mungu kwa kila jambo nilipata ajali Jana usiku lakini nashukuru Mungu
nipo Salama ila mashine imezingua kidogo daaaa Mungu mkubwa sana
tunatembea na kifo mkononi…tukumbuke kusali”
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment