Wiki iliyopita tuliweka habari ya Rose Ndauka kutolewa mahari na msanii mwenzake Malick Bandawe ambaye wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto. Habari hizo zilitoka kwa chanzo cha karibu na wawili hao.
Baada ya kupata habari hizo Swahiliworldplanet iliamua kumuuliza Malick Bandawe "Chiwa Man" kuwa ni kweli amemtolea Rose mahari na kama ni kweli harusi yao inatarajiwa kuwa lini?. Malick alijibu " Ndoa yetuinafuata soon kama ulivyoona kuwa mahari tayari tuombe uzima ila ni mwaka huu"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment