Mahakama kuu nchini Malawi imetoa
hukumu dhidi ya jaribio la rais Joyce Banda kupiga marufuku matokeo ya
shughuli ya uchaguzi wa urais na ubunge.
Mahakama imeiagiza tume ya uchaguzi nchini humo kuendelea na shughuli ya kuhesabu kura.
Mahakama italiangazia upya tangazo la rais Banda kwamba uchaguzi huo haufai kwa kuwa ulikumbwa na udanganyifu mkubwa.
Bi. Banda yuko katika nafasi ya
pili kulinga na matokeo yaliotangazwa na kwamba ndugu ya aliyekuwa rais
wa taifa hilo Peter Mutharika ndio anayeongoza.
Chanzo:bbc
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment