Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper
amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na
masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper
ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema
siku zote anaamini katika kupambana hivyo
hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.

“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na
mwanaume, akili yangu yote inaamini katika
kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha
nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi,”
alisema Wolper.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment