Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
'Siwezi kumuacha nikimuacha nitakufa ni maneno ya bint huyu jina tunalo amekiri kuwa na mahusiano na msichana mwenzio akijihusisha na usagaji.

Chanzo kina sema bint huyu huanga kwao arusha kuwa anakwenda dar kwa dada zake kumbe huja dar na kuwekwa kinyumba na msanii huyo wa bongo movie.
Kupitia vyombo vya habari msanii huyo hukana kama sio msagaji tena kwa macho makavu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top