Staa wa filamu za Kibongo, Coletha Rymond ‘Koleta’ akiwa hospitali baada ya kuzimia kwenye msiba wa msanii mwenzake Kuambiana.
Sosi
ambaye ni mtu wa karibu na staa huyo, alipenyeza habari kuwa Koleta
alishindwa kustahimili taarifa hizo za msiba na kuzimia kwani alikuwa
mtu wake wa karibu sana.
Alipotafutwa na paparazi wetu mara baada ya kutoka hospitali juzi, Koleta alifunguka:
“Kuambiana
alikuwa mtu wangu sana, nilishindwa kabisa kuhimili kifo chake na kama
unakumbuka ndiye ambaye nilianza kuigiza naye filamu yake ya kwanza ya
Sauti ya Manka.”
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment