Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Stori: Gladness Mallya Via GPL

KUFUATIA kifo cha msanii mkongwe wa filamu Bongo, Adam Kuambiana, msanii mwenzake, Salma Salmin ‘Sandra’ amewataka wasanii kubadili mfumo wa maisha na kumrudia Mungu.



Baadhi ya wasanii na jamaa wa karibu wa marehemu Adam Kuambiana wakiuchukua mwili.


Akizungumza na paparazi wetu katika Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar ulipokuwa mwili wa Kuambiana kabla haujahamishiwa Muhimbili, Sandra alisema ameumizwa sana na kifo cha msanii huyo kwani kimekuwa cha ghafla sana hivyo ni fundisho kwao wasanii kwamba wanatakiwa kumrudia Mungu na kuwa watu wa sala muda wote kwani kifo kipo na hakina muda maalum.


Aliongeza kuwa haifai wasanii kuwa na mabifu ya kijinga badala yake wapendane kwani hawajui kifo kitawakuta wakiwa wanafanya nin

<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>> 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top