Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
JB akiwa na simanzi nzito wakati akimuelezea Kuambiana.
Msanii Jacob Steven ‘JB’ amedondoka katika Viwanja vya Leaders wakati akimuelezea msanii mwenzake marehemu Adam Kuambiana. JB akianguka chini baada ya kushindwa kuvumilia.
 Tukio hilo limetokea wakati wa zoezi la kuaga mwili wa marehemu kabla ya maziko yatakayofanyika baadaye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Marehemu Kuambiana alifariki dunia ghafla Jumamosi ya Mei 17 mwaka huu wakati akipelekwa katika Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge, Dar.
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top