Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul
aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy
Dimpoz wameondoka Tanzania jana kuelekea
nchini Uingereza.
Platnumz na Dimpoz wakati wa safari yao ya UK
jana
Diamond ameshare baadhi ya picha za safari hiyo
akiwa ameongozana na Ommy Dimpoz pamoja na
meneja wake Babu Tale.
Licha ya kuwa Platnumz hajasema kilichompelela
Uingereza, lakini mpenzi wake Wema Sepetu
kupitia ‘You Heard’ ya XXL, amethibitisha kuwa
‘baby’ wake pamoja na mambo mengine pia
ameenda kushoot video.
Asante mungu tumefika salama in London,
ameandika Tale
Hivi karibuni hit maker wa ‘Number 1′ alipokuwa
Nigeria alisema ataenda Uingereza kushoot video
ya wimbo wake mpya unaotarajiwa kutoka mara
baada ya kukamilika.
Jumamosi iliyopita Platnumz aliwaomba radhi
mashabiki wake wa Uingereza kwa kushindwa
kufika kwaajili ya show iliyokuwa imepangwa
kufanyika siku hiyo (May 10) na kuahidi kuwa
angesafiri siku si nyingi kwenda London kwaajili ya
show hiyo.
“APOLOGY to my UK FANS due to the reasons
beyond our control me and my team @wcb_wasafi
we won’t make it to the UK show tomorrow, But I
promise you that we will be in UK Soon for another
big show…Trust Me! My team and my Uk promoter
@victordjrule_ BongoUk we sincerely sorry for the
inconvenience caused… Bt You can still go and
support @chrissdarling and @fullyfocus tomorrow
#Rugby7AfterParty… “ Aliandika Instagram.
Bongo5.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top