
Dereva wa
gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano
John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu
wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya
Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa
na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. (Picha na John Gagarini)
CHANZO MICHUZI BLOG
CHANZO MICHUZI BLOG
<<<<Bofya hapa ulike page yetu>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment