David
Luiz amafuzu vipimo vya afya na kukubaliana na vipengele binafsi vya
mkataba wake katika klabu ya Paris Saint-Germain utakaogharimu ada ya
uhamisho ya paundi milioni 50.
Nyota
huyo mwenye miaka 27 atakuwa beki wa gharama zaidi duniani akivunja
rekodi waliyoweka mabeki wawili wa PSG Marquinhos na Thiago Silva.
Ofisa
wa PSG alikwea pipa leo hii kwenda kumfanyia vipimo vya afya beki huyo
katika kambi ya timu ya Taifa ya Brazil leo ijumaa.
Post a Comment
Post a Comment