Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mtangazaji wa Radio Clouds Fm kipindi cha usiku Diva Loveness Love amedondosha pini jipya MashAllah akiwa na Sharobaro president Bob Jr.

"Wimbo huu nili-record ndani ya saa moja tu, kwasababa ilikuwa tu nimeenda kwa ajili ya kufata sauti za wimbo wa Vanessa Come Over kwa ajili ya vipande vya booth,
ndio Bob Jr akaniambia kwanini usiingize sauti ukategeneza wimbo, na mashairi alikuwa nayo, so nikaona ngoja tu niingize sauti, mwisho wa siku ndo wimbo huu hapa." amesema loveness

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top